johnsonmgaya
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 2,818
- 3,731
Pole sana shemeji jioni nitakuletea machungwa,yes shemeji kamjomba kanasumbua
Kaka si kasafiri?
Pole sana shemeji jioni nitakuletea machungwa,yes shemeji kamjomba kanasumbua
asante mussolini hivi ulienda mbudya au bado nasubilia mrejesho diktektaLeo katika Historia:
Niwatakie Sabato njema.
Mama watoto shunieNani anaumwa?
Pole sana shemeji jioni nitakuletea machungwa,
Kaka si kasafiri?

Sikuwa najua hata, mpe pole zakeeeeeeMama watoto shunie
Pole wiiiii sikuwa najua kama waumwa yakheeeeeasante mussolini hivi ulienda mbudya au bado nasubilia mrejesho diktekta
ZimefikaaSikuwa najua hata, mpe pole zakeeeeee
Baba mchuchu ni nani?Ameen mama mchuchu ubarikiwe na ww
Leo umepigaa chenyeweewPole wiiiii sikuwa najua kama waumwa yakheeeee
Hahaha, we nae nishakwambia mi sio mpenzi wa hizo, huyo namjulia wapi sasa




Hahahaaaa! Johnson mgaya karibu mkuu..Pole sana shemeji jioni nitakuletea machungwa,
Kaka si kasafiri?
Mbona kamtajaaaBaba mchuchu ni nani?
mm simooWeww ndo wa pili eeh?
Hakuna kitu wifi yangu basi tu sijui nna furaha sijui nmevurugwa hata sijielewiLeo umepigaa chenyeweew
Mbona unacheka ??
mmmhYaani huu ugonjwa wa watu kuumwa tumbo nausikia sana hii week..
Kuna zaidi ya watu 5 nawafahamu wanaumwa tumbo afu wote ni wanawake...
Why?
Kuna mmoja tuu ndo mwenye peptic Ulcers..hao wengine bado haijafahamika..
Bora uwe na furaha tuu arifu..Hakuna kitu wifi yangu basi tu sijui nna furaha sijui nmevurugwa hata sijielewi
Ulichomfanyiaaa unakijua weweHahahaaaa! Johnson mgaya karibu mkuu..
I love her too..Sawa mkuu
Ila sakayo anakupenda sana
alikwambia kavaa pedi au ulimshuhudia shemelaNo sio period..
Mmoja alivaa hadi pedi usiku..lakini asbh anakuta sio period..
Anyway poleni sana..
Wakuu Muombe wagonjwa...!