Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Sasa hayo yakimvuruga ndo anivuruge na mie jamani, toka Jana sijafuturu mdogo wanguDada nawe labda mambo ya jana yamemvuruga
Sasa hayo yakimvuruga ndo anivuruge na mie jamani, toka Jana sijafuturu mdogo wanguDada nawe labda mambo ya jana yamemvuruga
Yapo kwa 5%na mapenzi yamo???
Kwan kaka na ww unapenda chura kumbeQueen naona mzigo

Nafuu na wewe usemehajakuzoea hivyo shem
Nimemwambia ukweli nimeogopa kudanganyaUnajitoa ufahamu sio
naomba msamehe tu dadaSasa hayo yakimvuruga ndo anivuruge na mie jamani, toka Jana sijafuturu mdogo wangu
Utasikia tuuMpk jina tena mm sitaki jamaan ata kuskia
Pole Shemela wanendio mana nilikua simuelewi![]()
Mkuu sakayo ni shemela in law kabisa ondoa wacYaani
Unatakiwa umuite shemeji jua likichomoza hadi linazama...
Kila wakati ukimuona unaimba shemeji shemeji...x 2
Shemeji shemeji...x 2
Shemeji shemeji ...x 2
Be loyal please, otherwise you will suffer the consequences.
Nshamsamehe mdogo wangunaomba msamehe tu dada
huyu ndio sakayo wangu ninaemjuaNshamsamehe mdogo wangu
Sasa umeona malikia alivyoniacha soledad juz nikawa namatumaini kabisandio mana nilikua simuelewi![]()
hahahahhah yaan ww jitahidi tu utapataSasa umeona malikia alivyoniacha soledad juz nikawa namatumaini kabisa
Eti leo namuita shemela.
Uo mzigo ndo unaoniuma mimiKwan kaka na ww unapenda chura kumbe![]()
hivi kwa nn mnapenda churaUo mzigo ndo unaoniuma mimi
Amenhuyu ndio sakayo wangu ninaemjua
Nitapata nini akati nishanyanganywa na livi.hahahahhah yaan ww jitahidi tu utapata

aisee kwahiyo haujaona wote mpk shunie we endelea kumuomba Mungu utapata tuNitapata nini akati nishanyanganywa na livi.
Sasa nimechoka kila dem humu namuita shem kama vip nakufa nawewe shunie
Lee asiskie![]()
![]()
![]()
Ni mzur sana asa akiwa anaruka ruka most of mens upenda kwasababu chura akiwepo mchezo wakitandani ni asilimia nyingi sana kushiba .(mens)hivi kwa nn mnapenda chura