Leo katika Historia:
1944 - Ardeatine Massacre: Jeshi la Nazi la Ujerumani lafanya Mauaji ya raia 335 wa Italy huko jijini Rome.
Hiyo ni baada ya Dikteta Mussolini kufanyiwa jaribio la kupinduliwa, hivyo Hitler akatuma kikosi chake kwenda kumsaidia swahiba wake.