Makapuku Forum

Asante....jamani hamna mwenye ndugu Malawi au Zambia nikapumzike huko
Jan nilienda Malawi kwa baiskeli kutokea Kyela ni karibu tu ni mwendo wa kuelekea pale border kutokea Kyela mjini baada ya kuvuka Mto Kiwira...Wanyasa wamejazana Kyela border

Zambia pia sio mbali kutokea Mbeya maana nilienda kuzurira huko nilikuwepo Mwanjela....nahisi ww ni Mnyaki
...
 
ngoja nipige ukunga tu! Ntapambana hapahapa, mkimbia kwao mtumwa
 
Sema watz tuna mioyo ya kusamehe na kusahau....ngosha2019 akinipa ajira ntasahau yoote haya
!!

Japo kijani sitaipenda daima
Sijawahi kuipenda CCM
Hiyo kadi nilipewa tu na Katibu wa UVCCM tawi la chuo sababu tulikuwa tunakaa gheto moja...hivyo km best yake niliamua kumpunguzia "mzigo"
......
 
Sijawahi kuipenda CCM
Hiyo kadi nilipewa tu na Katibu wa UVCCM tawi la chuo sababu tulikuwa tunakaa gheto moja...hivyo km best yake niliamua kumpunguzia "mzigo"
......
Bora.....sisi chuo walikua wanatudanganya eti ukiwa na kadi ukimaliza chuo unapangiwa kazi mjini, nikawaambia ntaenda kufundisha kijijini
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…