Makapuku Forum

Mkuu comenti yako nikisoma siishiwi kutabasamu asee sasa poradly niwapi huko ?
 
si muende mmu mkatafute wenu muwalete huku kapuku
MMU chaka fishe lile. Nilishawahi pata mtu kule akawa ananitumia picha zake mrembo anawaka kuja kumwona laivu maweeee! Kumbe alikuwa ananitumia picha za Form IV bana wakati mtu mzima ameachika tena na watoto juu. Nilishaacha haya mambo ya mtandaoni kwa sababu miye sina tabia ya kuchezea watu. Basi ali-apologize sana wakati mi nilishapotezea jumla. Afadhali huku huku ngoja nikushupalie wewe tu mpaka kieleweke...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…