Kuna manzi moto nimemzimikia ile mbaya niko tayari kumpeleka hata Koromije kabisa. Bahati mbaya (au pengine nzuri) kuna njemba imemkamata na inamchunga balaa. Sijakata tamaa na nipo nimegangamara mpaka kieleweke.
Statistically tunaambiwa eti wanawake ni wengi kuliko sisi madume ila hapa JF na hasa huku kwa makapuku, mamanzi ni wachache sana ndo maana inabidi tugombanie tu kwa sababu hakuna namna!