Wanakujaga mmoko mmoko, wengine na madongo.....tukawa tunawa-ignore wakatuacha.....ila kuna vichwa naviona hapa havitakubali so litatokea battle na kuharibu hali ya hewa!!!Si ulinuna nilivosema niwaite
Unaongea sana tatizoStoki ila naona kama wananichoka hivi
Alafu nyie ndo mnaenda majukwaa mengine kuwa kapuku tunaringaAfu mkuu kwanini si wengine hatuoni picha mkuu afu nitathink vip wakati hakuna ninachokielewa
AminaaaaHongereni Shunie and Lee Empire
Mkuu nimekuelewaMkuu tuliza wenge tutakuelewesha
Ni speed kali I seeKasi ya huu uzi inanitisha.
Asubuhi ilikuwa nampongeza Shunie kwa 146k saa hizi ushafika 147k.
Kama ni gari basi Ngorika ya kipindi kile kabla ya tochi. Au Allys Sports Bus, Dar MWANZA spidi yake sio ya kitoto.
Mimi naeasubiria nitusue 150k ili nikae kwenye vitabu vya kumbukumbu.
HahaaaDaaa! Najuta kukufundisha..
Jimena ndio kiongozi wangu humu kaka Bitoz na dictator Mussolin5 wakanipa utaratibu basi mpaka leo huku ndio honeHahahaaa!
Nakumbuka siku nakaribishwa na kina Bitoz na Shululu..
Sema palikuwa kimya sana..
Unamcheka shunie mkuuHahahaaa!
Mmh kuumbe! SikujuaWanakujaga mmoko mmoko, wengine na madongo.....tukawa tunawa-ignore wakatuacha.....ila kuna vichwa naviona hapa havitakubali so litatokea battle na kuharibu hali ya hewa!!!
Na ukimjuaa ??nan malkia unampa maujanja
MmhJE WAJUA?
Wanawake wawili ambao walivaa kaptula kwa mara ya kwanza na kutembea barabarani (public area) walifanya wanaume kuwaangalia/kuwafuata nyuma na walisababisha ajali ya gari mwaka 1937
Mkuu kutomboka aiiiseeeeh kiswahili sanifu hikiUnavyo onekana ww
Hata ukienda ugenini huna staha wala huna aibu
Yaani unatomboka tu
Wangine hua wanasubiria wazoeleke
ila diktekta kuna pendeza ukienda mbudya uwe na wifi
Umejiunga humu mwezi gani Kisheti AkA PimbiJimena ndio kiongozi wangu humu kaka Bitoz na dictator Mussolin5 wakanipa utaratibu basi mpaka leo huku ndio hone