Makapuku Forum

Wewe Shunie
una furaha?

Tatizo la Wabongo ni umbea na roho mbaya. Huwezi kushinda kwa Mange Kimambi au kwa Shigongo ukimeza sumu halafu eti uje uwe na furaha. No way. Kuepuka tu mambo yasiyo na faida katika personal level kungeweza kuondoa ukungu na sumu katika mioyo ya wengi.

Halafu roho mbaya tumezidi siye Wabongo. Hata bila sababu. Juzi hapa namuomba ushauri rafiki yangu kuhusu uendeshaji wa vituo vya mafuta (yeye anavyo na mimi ndo nimeanza). Badala ya kunishauri yeye ananikatisha tamaa na kuniomba niachane kabisa na biashara hiyo. Wakati huo huo yeye ndo biashara iliyomtajirisha.

Note: Shunie
wewe rukhsa kuweka mafuta bure katika kituo changu. Haki ya nani hata uje na tanker ni sawa tu. Ila Lee akikatiza ni lazima apandishiwe bei potelea mbali hata akashtaki EWURA!!!
 
aiseeee
mm nimeridhika na lee wangu hivi hivi
 
Wewe usipomtaja shunie haupumui carbonidioxede gas inavoonekana ....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…