Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Ipiiiihahhahah umesahau msemo ukiwa na mwizi na ww utakua mwizi
Kwahiyo lee ameshaniambukiza tabia yake
Mondray na nyagei hao..hahahah wazee wa fursa
Kaushahahahahh
jioneeHahaha... Babu shunie
Tatizo unasahau kuwa Sharing is caring, hapo tuakalibie vizuri tu
Cha mara ni sheedaunajua simuelewi ujue leo na misemo yake sijui kavuta cha wapi
Wakatii wewe ndo unanibania mbunye kila mkifungwaaww apo
usiniambie dada hutumii hiyo kituHapo umechemsha
Siijui hata ladha ya bia toka nimeliona jua kwa mara ya kwanza
UpendoKuna nini humu?!!
Hahahaaaa!rukeni bila parachute![]()
usinipe dhambi lee leo sikuelewi kabisa na misemo yako hii mara ya piliWewe apoo
Umenunua nn sasaHapo umechemsha
Siijui hata ladha ya bia toka nimeliona jua kwa mara ya kwanza
hiyo ya uchoyo anayosema sakayo kuwa nimekuigaIpiiii
wazee wa harakatiMondray na nyagei hao..

inategemea sio vyoteTatizo unasahau kuwa Sharing is caring, hapo tu
Sitakijionee
hahahhah sio cha arushaCha mara ni sheeda
Ninununue na hela ipiUmenunua nn sasa
Kama kipi hapoinategemea sio vyote