siwezi kuelezea baby ila nitaeleza kwa ufupi kamati ilienda ofisini kwa mkuu wa mkoa wakaambiwa ana mgeni alivyotoka wakaambiwa waende kufika mkuu wa mkoa kawakimbia kwa mlango wa nyuma
Mfanyakazi wa mkuu wa mkoa akawaambia wamsubili atakuja wakakaa badae akawaambia tena hawezi kufika wakaondoka kuandika tume yao nimechoka baby atamalizia mwingine aliyesikia