Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,061
Mnarudi wapi?hahahhah wii acha tu nitarudi badae sana bana
Mnarudi wapi?hahahhah wii acha tu nitarudi badae sana bana
Tatizo nawachanganya majina, ngoja niflash backNo...! Nani nimembwagwa kwa kutokuwa hewani?
Umejuaje[emoji32][emoji32]Usiku kalala anaweweseka juu yako
Wewe hutaniwiiii??Tena anavujua kulalamikaa, ngoja nikutaftie gentlemen mmoja afu nimuone
Morning mpweke ..Morning people I real miss you
Kwemaa mkuuhabari za asubuhi wakuu
MmmmhVp QK umeahirisha
Hapana nipo na Numbisa wangu hapa sema hatuja announceMorning mpweke ..
Niko poa kaka! Za huko?Dada emmyta uko pouwa?
Katibu kiongozi unasemajeeHapana nipo na Numbisa wangu hapa sema hatuja announce
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nataniwa ila hilo la kumtaftia ma bite gent niko siliasiWewe hutaniwiiii??
hahahah usiniambie jana alishinda mmuHuu mwaka mnalo...
Ila bora umerudi ili lee atulie..
Jana alivurugwa akawa anacomment tuu kila uzi kule mmu[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani kila uzi nikiingia namkuta yupo..[emoji23][emoji23][emoji23]
Ukikumbukaa nitagTatizo nawachanganya majina, ngoja niflash back
Shukrani mkuu. Zimebakia siku chache tu mkuu kamfungo kaishe. Japo Shunie ananipa kusukuma damu chake, niingie tu hata sahivi.Hahahahaha!
Karibu mkuu..
acha tu shem ila nimejifunza kituHahahha!
Kumbe bani yako ni mtu alienda kureport?
Kwanini hasiwezeUtauweza usista wewe?
Ujueee baby karudiVp QK umeahirisha
Nikumbushe bwana, we unamjuaUkikumbukaa nitag
kwahiyo alikua anatongoza tongoza tuHuna mtuu !
Jana kahaha sana...
That's soo sweet of youah nashukuru mungu