Tetramelyz
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 4,369
- 12,469
Niko vizuri..mwambie ajeMkuu uko poa???
Livi anakusalimiaa
Niko vizuri..mwambie ajeMkuu uko poa???
Livi anakusalimiaa
Hahaha, ni storie ndefu. By the way na we we unaweza kuniasaidiakwahiyo haupiki kabisa unakula chips tu sbbu huna jiko
Hivi ningepewa ya week si nakukuta upo na mtu huku aisee usijaribu nitauaAcha tamaa hlo dili tuachie sisi keshokutwa anatoka
Kaushaaa mkuu nimekupata
Asantee mkuuLeo katika Historia:
Niwatakie siku njema.
Basi Mimi sina msaada zaidi,Ndo LR waooo hawez kuama
Moyohivi ww nan alikuunganishia![]()
Poleni sana Bitoz haya mambo uyasikie tu![]()
Bomoabomoa hulu kwetu Mabibo relini![]()
Treni ya umeme na huku itapita?
.....
Hahaha, ni storie ndefu. By the way na we we unaweza kuniasaidia

Hapo kuna kulana hapo, afadhali usingeiona tuDuuuh alafu sikuona comment hii
kumbe unapenda vyeusiDon't mess with this lady![]()
![]()
![]()
![]()
Sema nakapenda sana
Leo Katika Historia:
1945 - Arab League yaanzishwa.
Jumuiya ya Nchi za kiarabu ilianzishwa ikiwa na lengo la kusaidiana kwa Nchi za Kiarabu ambazo zinapatikana Afrika ya Kaskazini na Middle East.
Jumuiya hiyo ina jumla ya nchi 22.
hahahah wapi hukoLee naona unaendelea kuniqoute kule hovyo hovyo...
Tutakula bani wote mkuu...stop it
Mimi bani kwanza siwezi ...ndo nina week tuu na sakayo afu nile ban..![]()
Vyeupe zaidi lakini ili nipata product amaizingkumbe unapenda vyeusi
Yule anachepuka sanaa bwanaJohnson si yupo
2001 - William Hanna anafariki dunia.
Mmoja wa maproducer wa katuni ya Tom and Jerry.
Mambo rafiki.Poleni sana Bitoz haya mambo uyasikie tu
2004 - Ahmed Yasin anafariki Dunia.
Mmoja wa Waanzilishi wa kikundi cha kigaidi cha Hamas cha Palestina.
Ameen Baba MchungajiBwana Yesu asifiwe watu wa Mungu.
malkia na yy akipigiwa kampeni asilalamike tuStaki mipango ya kando....afu uko vizuri kwenye makampeni yenunext time kina bashite wakupe ajira
DadaMmeamkaje humu ndani, nawasalimia na pia nimeleta salamu Kutoka kwa Shunie, asema amewamiss,ila kammiss Lee zaidi.
Niwatakie siku njema yenye mafanikio tele love you all but love T more