BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Nawe pia mpendwa ulale salama Mungu akubarikiMlale unono wapendwa
Nawe pia mpendwa ulale salama Mungu akubarikiMlale unono wapendwa
[emoji23][emoji23]nimetenguaTengua kauli QK
Aibu nimeona mimiMbona nawe waziba mdomo?
Amejibiwa kule alikotuma?Usiseme hivyo bibie huyo ni mgeni anafaa kukirimiwa na apate mtu wa kua nae think twice please
Ee tena zile mpyambona tayari tushalipia au unataka risiti??
Kama ni kule kwetu:Urithi upi huo joo
Nimewaaribu vipi mkuu..?Umewaharibu wenzio
Humu pashakuwa mmu sasa ! [emoji23][emoji23]Mmeanza makampeni yenu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na lilipiwe hili tangazo
Kasoro ban tuHumu pashakuwa mmu sasa ! [emoji23][emoji23]
Asante mama mchungaji...We Love your family more,good night stay Blessed.
Bitoz keshalala?Kasoro ban tu
QK anakataa kupokea mgeni snipesMutoto ya Mumbai...
Eeh! Kaka Bitoz hapo mkuu..
Maapeeeeeeema tuuuu!!!Bitoz keshalala?
[emoji3] [emoji3]Acha uongoo kaniaga pm
[emoji106] [emoji106][emoji23][emoji23]nimetengua
siwezi kukuangusha mkuuNdio mkuu.
Naww jieleze vizur sasa aah
Unaniangusha
Unamuonea snipesAibu nimeona mimi