Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hebu kwanza jibu hili.
Ilikuaje nikakupokea 2016 wakat umejiunga 2013
unakumbuka juz wakat tupo maeneo yetu kule chimbo nilikuambia kwamba nachangia kile kinachonivutia na hiyo ndiyo rule yangu

humu naingiaga mara kwa mara si kila siku, mara nyingi naangalia dunia ilipitia wapi katika mambo ya historia kuna mtu humu anaitwa Mussolin kama sijakosea namfatilia sana huyo mutu
 
unakumbuka juz wakat tupo maeneo yetu kule chimbo nilikuambia kwamba nachangia kile kinachonivutia na hiyo ndiyo rule yangu

humu naingiaga mara kwa mara si kila siku, mara nyingi dunia ilipitia wapi katika mambo ya historia kuna mtu humu anaitwa Mussolin kama sijakosea namfatilia sana huyo mutu
Aahaaa mzee wa leo ktk historia
Big up sana mm humu ndio nachangia asilimia 90 pengine napita kimya tu. Humu nimepazoea hata nikiwa na tatizo nawaeleza tu ili nijue jinsi ya kutatua
 
Dada Queen Kan kuna kijana hapa anaitwa Snipes. Ni mgeni humu mpole na mtaratibu kiufupi hana makuu, tunakuomba umpokee uwe nae ili aweze kujiona naye ni mtu kati ya watu na kupapenda zaid humu nyumbani. Nadhan atajieleza mwenyewe vzr
Mmeanza makampeni yenu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na lilipiwe hili tangazo
 
Back
Top Bottom