Hahaaa vp ule mchongo wa pm tuliochonga uko gudHajarejea mpaka sasa sijui ulitoka nae
Mueleze huku kulivyo Fresh sana kuliko hukpDaaah naona huko mizinguo tu waweza kula ban bure lakini humu furu burudani. Hebu jiunge huku
Kuna sehem ukiingia kwenye profile ya mtu utakuta pameandikwa follow na IgnoreNijuzeni namna ya kumfollow mtu huku JF
Bado naona alizima dataHahaaa vp ule mchongo wa pm tuliochonga uko gud
Hahahaaaaa!Wewe jamaa harakatizako zanifurahisha sana
Yule wa kwenu huko kazima. Mbona mm nawambia wanafungua then naingia.Bado naona alizima data
peaceDaaah naona huko mizinguo tu waweza kula ban bure lakini humu furu burudani. Hebu jiunge huku
Lloh.! Kule siko mkuu...! Utakula ban..Nilishatoka ila nimeshangaa kuwakuteni nyote kule
Jamaa anatia huruma sanaHahahaaaaa!
Hakujafungwa mkuu ila hayupo online hapo tupo sawaYule wa kwenu huko kazima. Mbona mm nawambia wanafungua then naingia.
Ww kisheti kweli
Ok karibu huku upate rafiki wa ukweli sio huko majukwaani. Kila kitu kinapatikana humu hadi wasichana kasoro pesa na chakulapeace
una wangapi?Ok karibu huku upate rafiki wa ukweli sio huko majukwaani. Kila kitu kinapatikana humu hadi [HASHTAG]#wasichana[/HASHTAG] kasoro pesa na chakula
Nilimuona mukongo ananyapia nyapia sijui nani kampeleka kuleLloh.! Kule siko mkuu...! Utakula ban..

Ninatumia AppKuna sehem ukiingia kwenye profile ya mtu utakuta pameandikwa follow na Ignore
Si kaaga kua anaondoka ohoooHakujafungwa mkuu ila hayupo online hapo tupo sawa
Duuu mm natumia browserNinatumia App
Za kufua mashuka keshoKazi njema muda huu wa mapumziko Kazi gani hizo
Ww bwana mm humu ninae paprika bwana njoouna wangapi?
Kule atarejea tuSi kaaga kua anaondoka ohooo
Acha ukisheti