Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,513
- 40,619
Mambow mlembow[emoji4]Kumbe kaka mpambe. Sina muda mrefu nimekuja kusalimia tu nitaondoka punde
Mambow mlembow[emoji4]Kumbe kaka mpambe. Sina muda mrefu nimekuja kusalimia tu nitaondoka punde
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapana mkuu...Kaka mtu hujajiunga instamoney nikatuma ya vocha ili uamini niko silias
Umeenda wapi sasa!Kabisa yaani
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji100]Hapana sijauona mkuu
[emoji15] [emoji27]Magu kweli amekaza.[emoji23][emoji23]
Naona ndo mnaingia na Bitoz now
Hapana mkuu...
Ninyi pambaneni huko ! Sitaki kuuza moyo wa dada yangu kama Yuda na Yesu
[emoji23]Maliza kabisa kisheti
Nakuona unakimbia werasson..[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji100]
[emoji4]Unafanyiwa hustling ili naww utusue ujue
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jamaaa kwenye kamati yetu tutamtema
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hahahaaa! Afu ndio njia ya nyumbani ujue unanishusha pale simba track uelekeo nyumbani Olasiti
Zamu yako itafika usiwe fisi mkuu livi livinusN
Nawezaaaa ndioo mkuu
Niachie naona wenyeji wanakupigia chapuo
Mkuu mbona una unacheka hivyoo?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bwahahahahaaaaa[emoji13]Bob una kadictionary pembeni ??mbwebwe zingine hazifai
Gonga kimaguuu kimombo achana nacho
[emoji327] [emoji327]Alikuwa gambushi
Pasi na shaka na wewe una imani mashairi ni magumu.Nachukia mashairi kinoma