OMG what is this?
Kuna ishu imenibana ndio maana sitokei wala kupost sanaMambo ya fursaBTW: You are missed
![]()
Hahahaaa! Hao jamaa ni wanazijua akili zao wenyewe..
Sijawahi experience hii fact..!!!
Pin ? Za niniMods watuwekee pin humu ndani au mnaonaje?
Ongeza hekima zako mukongo

Dah...kweli..banaNi ufagio wa chelewa umeegemezwa ukutani!!!
Sijaelewa!!!Mods watuwekee pin humu ndani au mnaonaje?
Alafu mbona umeifuta ile fagio??
Acha hizo mkongo

Noted....hope iishe mapema na iwe ya mafanikioKuna ishu imenibana ndio maana sitokei wala kupost sana
.....
Unaongea na sisi???Hahahaaa! Hao jamaa ni wanazijua akili zao wenyewe..
Hapana..Unaongea na sisi???
Teh teh tehMama njoo huku..
Tunanukia ban kule...
Nimekutana na nyinyi kuleMama njoo huku..
Tunanukia ban kule...
Apo sawaaHapana..
Sawa babes...!Teh teh teh
Mie naomba nikapumzike, ndo mida yangu hii