Clkey
JF-Expert Member
- May 29, 2014
- 5,720
- 15,352
KwannHahahaaha
Amekudanganya
KwannHahahaaha
Amekudanganya
Tayali yupo mbunge kivuliQK nadhani ww ni jimbo wazi tafadhar kuna mbunge anataka aje kugombea kwako msikilize
KafungukaHahahahaaa!
Mbona sasa tunachanganya madawa.Kuna kijana hapa naitwa NYAGEI
Nataka nimtambulishe kwako muwe mnapeana kampani ukija huku na mamno mengine yaendelea...
Ni mwaminifu ! Nimempokea mimi humu...so mnaweza mkasukuma maisha pamoja...
Unasema dada yake Transcend
Goodmorning sir Werrason have a Blessed day

Kweli kabisaHahaha, haya maisha hayanitendei haki..kbs
Thanks MadamKazi njema
Acha uongo kwanza lindo leo huendiTayali yupo mbunge kivuli
KivipiIla wanaume sijui mmeumbwajee
AmenWapendwa Makapuku naamini Mungu amewaamsha salama sifa, utukufu ,heshima na shukurani ni kwake aliye juu,haijalishi unapitia changamoto gani namwomba Mungu aingilie kati ,wanaogua na kuuguza Mungu awaponye ,wanaotafuta kazi na riziki Mungu awasaidie mpate kazi na riziki maisha yawe ya amani na upendo ...nawatakia siku njema yenye baraka na amani ...Amen
Napenda ile kwangu sasaHaraka harakaaaaaa
Mmmmmmmh apo mawazo hayaishiNalala na kitanda bwana
YaaaaaahKumbe watu mmeshafika kule kuchungulia
BwanaaabwanaaaaahMoto hauzimwi kwa makaratasi cilikei...Mimi natuliaje sasa,
Nyagei..,Kumbe watu mmeshafika kule kuchungulia
MiiiiiQK nadhani ww ni jimbo wazi tafadhar kuna mbunge anataka aje kugombea kwako msikilize
Maji yanapunguza njaa tu, na sio hayo yanayokusibuKwann
Kamekula watu wengi kale kauzi kama 3 ppleYaaaaaah
Reason ni nini hasaHivi makapuku niwaulize kitu marafki zangu wapendwa ,je ufanye nn pale unajisikia kukosa amani,niko vibaya sanaaaaa sanaaa ,roho yangu haina amani kabisaa i don't know why
Ndoo maana hujapokea simu zanguKuna kijana hapa naitwa NYAGEI
Nataka nimtambulishe kwako muwe mnapeana kampani ukija huku na mamno mengine yaendelea...
Ni mwaminifu ! Nimempokea mimi humu...so mnaweza mkasukuma maisha pamoja...
Unasema dada yake Transcend