Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
SawaMashemeji mmeagwa !
She will be back later...!
Mtag mkeo kama hana tabia ya kuaga![]()
Cc
Lee empire
Mondray
Obi
Bitoz
Quigley
Ray van boy
Baily 5
SawaMashemeji mmeagwa !
She will be back later...!
Mtag mkeo kama hana tabia ya kuaga![]()
Cc
Lee empire
Mondray
Obi
Bitoz
Quigley
Ray van boy
Baily 5
Shemela wangu hata sijielewi sina amani tu toka asubuhiT
Tatizo nini kipenz
Utapata wine kidogo?Hata sijakipata bado! Nashangaa mnanikaribisha kwa maneno matupu wakati koo langu kavu na jua hili daah
OMG![]()
![]()
![]()
![]()
Officially : baby Shunie kapata ban
tatizo thread waliyokuwa wanabishana eti kuna mdada alikua anataka mchumba wakamvamia eti yeye ni dume![]()
![]()
![]()
Sina neno mgeni mimi bora iwe bardiiiiUtapata wine kidogo?
Njoo huku chap nyagei...Aah kisheti unaniangusha kusema hivyo
Tunaila wote hakuna tatizo. I'm readyTulia tutatafuta taratibu si unaona dadaako nmekuwa mjane ghafla,hapa ukijichanganya inakula kwako mazima
NtakupigiaaUko mukide arifu?
Jichanganye na watu acha kuwaza sana and sahau yaliyo pitaShemela wangu hata sijielewi sina amani tu toka asubuhi
Ww tulia bwana nn lknTunaila wote hakuna tatizo. I'm ready
Ushindwe mwenyewe sasaKusema kidume mwenzio ndio chanzo
Ilo usijali limecheleweshwa ila nyagei anakuja soon kukuletea ukipendachoHata sijakipata bado! Nashangaa mnanikaribisha kwa maneno matupu wakati koo langu kavu na jua hili daah
SawaJichanganye na watu acha kuwaza sana and sahau yaliyo pita
On the dotHuku hakuna stress...!
Hakuna chuki wala kugombana!
Tuna-joke! Tunacheka ! Tuna like comment yako...life lina songa..
Ngoja nijaribuYes, u can
Kunywa maji mengiShemela wangu hata sijielewi sina amani tu toka asubuhi
Mkuu ugeni umeuonaa??Kusema kidume mwenzio ndio chanzo
Hahaha, haya maisha hayanitendei haki..kbsHahahahaaa!