Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Lee mbona uko kama mvua ya masika...Aseme mwenyewe kama kakuacha
Wewe ndo umlimtongoza Clkey kwa Ray Van boy...ukanisingizia nimemtongoza shunie...
Sasa hivi unajidai kama huelewi...
Sema kama unataka vita ni mimi !
Am ready ila utaijutia...