BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Tunakumis pia karibu dearNawamisijeeeeeeee
Tunakumis pia karibu dearNawamisijeeeeeeee
Mzima hofu na mashaka ni juu yako malkiaMzima weye
Ila kuna avatar ya hivyoLet's take it low! ...
Ila hiyo ni bani sio avatar..
Kaniangusha kijana wanguHuyo HR 666 ?
Ulimtukana?
HahahaHiki kichwa chenyewe ni google..!
Nadownload tuu..
Halafu ni mjinga, huwa anaongeaga pumba tuuHuyo jamaa ndio alinisababishia mm ban
Mkorofi sana
Hata usipomtukana huwa ana majibu ya kijiweniHuyo HR 666 ?
Ulimtukana?
IpoIla kuna avatar ya hivyo
Labda kaamua kuiweka tuu
Hahahaaaa! Eti kisheti..Aah kisheti unaniangusha kusema hivyo

YawezekanaLabda kaamua kuiweka tuu
Daah !kule mmu wanawake wana respect kuliko sisi wanaume..Hata usipomtukana huwa ana majibu ya kijiweni


Hivi ukilimwa ban unakuwa informed?
Ukishamuelewa mtu ni kukaa kimya tuu, ndo jibu la mjinga.Daah !kule mmu wanawake wana respect kuliko sisi wanaume..
Mondray usiwe unakesha tena kule..!![]()

Mwache kama anapenda ban ataipataLabda kaamua kuiweka tuu
Nakupenda utamu wangu!Ukishamuelewa mtu ni kukaa kimya tuu, ndo jibu la mjinga.
Love, niagiee wengine mie niendelee na ubusy kidogo.
Baadae, isipowezekana till tomorrow then!!!!![]()
![]()
Niko poa tuMzima hofu na mashaka ni juu yako malkia
Mashemeji mmeagwa !Ukishamuelewa mtu ni kukaa kimya tuu, ndo jibu la mjinga.
Love, niagiee wengine mie niendelee na ubusy kidogo.
Baadae, isipowezekana till tomorrow then!!!!![]()
![]()

