Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Mwisho ndo nilimuacha kwenye huo uzi, sasa sijui ka walijibizanaKuna jamaa anasema sijui kampa shunie mimba..!
Yawekana shunie kararua mtu huko..
Mwisho ndo nilimuacha kwenye huo uzi, sasa sijui ka walijibizanaKuna jamaa anasema sijui kampa shunie mimba..!
Yawekana shunie kararua mtu huko..
Hayo majibu unagoogle auNishamsamehe sweetie..
Illa aachae ujinga! Mimi natachapa mtu anytime akikusogelea tuu...
Yaani Mungu alinizidishiaga wivu!
Nilikuwa namuona tu, napata mashaka sana na kidume kuwa vileYule mshkaji nampata...ni msumbufu balaaaa...
Mbona huu wa kitambo ??Cheki huu uzi..! Kuna mjinga kaingia jf kijinga...nadhani ndo chanzo cha ban ya shunie..
Shunie tangu nimpe ujauzito ananinyanyasa sasa, nataka nimletee mke wa pili
Shunie tangu nimpe ujauzito ananinyanyasa sasa, nataka nimletee mke wa pili
Ya malkia ilikuwa artificialOmba iwe ban fupi...
Qeeen khan alikula ban sijui ya miezi 2 !
Sijaona la kufanya apewe ban bwanaOmba iwe ban fupi...
Qeeen khan alikula ban sijui ya miezi 2 !
Let's take it low! ...Sijaona la kufanya apewe ban bwana
Kitambo ndio ila sijui kulikuwa na majibizano mengine jana..Mbona huu wa kitambo ??
Sina hakika ila nahisiUle uzi anaosema wanawake wasilazimishe ndoa?
Hiki kichwa chenyewe ni google..!Hayo majibu unagoogle au
Huyo jamaa ndio alinisababishia mm banKitambo ndio ila sijui kulikuwa na majibizano mengine jana..
Kwa uwezo wa rohoHahaha..... Yanawezekanaje hayo
Mzima weyeCool Queen Kan
Huyo HR 666 ?Huyo jamaa ndio alinisababishia mm ban
Mkorofi sana
Aah kisheti unaniangusha kusema hivyoHuyo jamaa ndio alinisababishia mm ban
Mkorofi sana