Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,232
- 68,262
hivi utatulia lkn kama lee wangu
ujue lee ata kama anafanya atakua anafanya kimya kimya
Tupo dear karibu sanaMpooo
Thanks mkuu Nyagei ubarikiweTukutane saa 16:00 kwenye historia ikiletwa na le dictator Mussolin5
Have nice lunch all Kapuku's
Time will tell
Kauli ya namba moja Tanzania...Watanzania tumejikita sana kwenye Maswala ya umbea, ambayo hayatupunguzii njaa, hayatupunguzii umaskini, hayatupunguzii matatizo ya elimu.
Mnajisumbua na vipost vyenu, kana kwamba mnanipangia mimi, mimi sipangiwi tena ukinipangia ndio kabisa naacha, mimi ndio Rais hakuna wa kunipangia cha kufanya, nilipoenda kuchukua form hakuna alienipangia
Hakuna wakunipangia nani nimuweke wapi, mimi ndo napanga fulani anakaa wapi, kwahiyo "Makonda" wewe chapa kazi,Chaps kaziii na hapa kazi tu... achana na hayo yanayosemwa kwenye mitandao ww piga kazi tu... Hapa kazi tu! Hakuna wa kunionyesha mimi njia ya kupita, chama changu cha CCM kilishanionyesha njia!
Rais JPM jumatatu Machi 20.2017
Kina miaka 162 mpaka sasaLeo Katila Historia:
1854 - Chama cha Republican chaanzishwa huko Wisconsin nchini Marekani.
Ni chama tawala nchini Marekani.
Wapinzani wao wakuu ni Democrats
Kuifanya forum isiwe bored by that timeUniongoze? Kwa minajili gani? Unaniongozaje sjaelewa?
Inasemekana lakini kwamba Didier alimfanyia uswahili1984 - Fernando Torres anazaliwa.
Mshambuliaji wa zamani wa Liverpool, Chelsea, Ac Milan, timu ya taifa ya Spain na kwasasa Atletico Madrid.
Ni zao la akademi ya klabu ya Atletico Madrid.
Akiwa Liverpool alikuwa ni mmoja kati ya washambuliaji bora waliotikisa EPL na kumpa wakati mgumu beki kisiki wa Man Utd Nemanja Vidic wa kumkaba pindi wanapokutana.
Torres ameshinda kila taji isipokuwa taji la ligi tu, katika timu zote alizochezea hakuwahi kushinda ubingwa wa ligi na timu aliyoichezea.
Ametwaa, Kombe la Dunia 2010 pamoja na Ubingwa wa Ulaya kwa timu za Taifa mwaka 2008 na 2012 akiwa na kizazi cha dhahabu cha Spain.
Uefa Europa League, Uefa Champions League, Kombe la FA akiwa na Chelsea.
Kwangu mimi, Torres ni mmoja kati ya washambuliaji mahiri kuwahi kuwashuhudia katika EPL, namkubali sana.
Uhamisho wake kwenda Chelsea ni moja kati ya sajili mbovu kuwahi kufanywa Uingereza kwani Torres alichemsha vibaya sana akiwa Chelsea.
Tuendelee tu kupiga kazi mkuuTime will tell
LVG alishindwa kumtumia1990 - Marcos Rojo anazaliwa.
Ni beki wa kati na kushoto wa Man Utd na timu ya taifa ya Argentina.
Kwa muonekano ni tozi flani hivi lakini ni moja kati ya mabeki wagumu na wapambanaji ndani ya uwanja.
1984 - Fernando Torres anazaliwa.
Mshambuliaji wa zamani wa Liverpool, Chelsea, Ac Milan, timu ya taifa ya Spain na kwasasa Atletico Madrid.
Ni zao la akademi ya klabu ya Atletico Madrid.
Akiwa Liverpool alikuwa ni mmoja kati ya washambuliaji bora waliotikisa EPL na kumpa wakati mgumu beki kisiki wa Man Utd Nemanja Vidic wa kumkaba pindi wanapokutana.
Torres ameshinda kila taji isipokuwa taji la ligi tu, katika timu zote alizochezea hakuwahi kushinda ubingwa wa ligi na timu aliyoichezea.
Ametwaa, Kombe la Dunia 2010 pamoja na Ubingwa wa Ulaya kwa timu za Taifa mwaka 2008 na 2012 akiwa na kizazi cha dhahabu cha Spain.
Uefa Europa League, Uefa Champions League, Kombe la FA akiwa na Chelsea.
Kwangu mimi, Torres ni mmoja kati ya washambuliaji mahiri kuwahi kuwashuhudia katika EPL, namkubali sana.
Uhamisho wake kwenda Chelsea ni moja kati ya sajili mbovu kuwahi kufanywa Uingereza kwani Torres alichemsha vibaya sana akiwa Chelsea.
Thanks dictator, nawe pia uwe na jioni njemaLeo katika Historia:
Niwatakie jioni jema, tukutane kesho tena.
Ahsante dictator Mussolin5 kwa historia ya leo adhimu kabisa.Leo katika Historia:
Niwatakie jioni jema, tukutane kesho tena.
Daima binadamu husema kilichojaa moyoni mwake lakini Mungu anamajibu :