hapana mjomba, sijaviamkia, sema vyenyewe ndo vimeamka na mimi baada ya kusikia tangazo la serikali na vinajua kabisa mpwao ni mlipa kodi maarufu.
BTW, ukiulizwa hiyo chupa ni ya nini na BH tafadhari sema ni tiba ya kipandauso, nisije nikakosa mambo mazuri na uabrikio