Makapuku Forum

Naomba msaada wako niweze kuipata hiyo historia le dictator
 
Jana mwanangu Kogi aliniuliza swali la kizushi, Eti baba ukichanganya OMO na FOMA unaweza kupata povu? Nikamjibu, Lazima upate kwa kuwa zote ni sabuni za unga. Kisha nikamwambia, Siku nyingine usiwe unauliza maswali ya kipumbavu. Akaniambia majibu yako ndio ya kipumbavu. Utapataje povu bila kuweka na maji?

Tangu jana bado najiuliza nimekosaje swali kizembe? Sasa namtafutia sababu afanye kosa dogo tu nimchape bakora za maana kwa kunivunjia heshima.
 
 
kaka umetisha sana umenikumbusha mbali sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…