Makapuku Forum

mmmmh, sijui kama nitaiona, kuna panyabuku humu anapenda kutafuna hela utadhani TRA/BOT. Labda kwa kusaidia utafutaji hebu ongeza buku kumi nikanunue dawa ya panya tumuue, irushe mapema kwa mpesa, weka na ya kutolea
 
Itapatikana kweliii???

Mim natumaaa ile inayoaanzaa na 07
 
Lol! Hii yote ni kuweka ugumu tu usitume hea, si uende hata posta ya karibu utume kwa njia ya TMO
Natumaaaa[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Utawala wa kisheria. . . very funny!! kila kitu hadi kithibitishwe mahakamani. . .
May be it could be a good way . . . kama mtu. . . ni kweli sugu inaweza ikawa njia ya kum discipline,
Kuliko wale wanao jipa mamlaka ya kuua wenzao.!!! I hate that. . .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…