Hii ni old couple mkuu.New couple?
Mkuu mpenz wako aliibuka au ndo alizamia jumla?Hahaha.
Asante. Sasa honey ntarudi baadae, nisaidie kuwapa wengine salamu zangu
Aaaa.... Jamani! mbona mko wa kavu hivyo nyie kapo!Sawa swetee,usijali
Hivi kumbe linamo mambo yametiki!Acha kujipamba dogo. Mke wangu alike comments za makapuku wote. Basi ukaona ngekewa eeh pole sana kijana
Weeeee shindwaaa!!oya Th Name mbona mkeo anapenda kulike comment zangu sana, ananipenda au??? simuelewi
Mpenzi wangu wa pekee Nahrene alionekana leo mida flani alafu akarudi home kupika.Mkuu mpenz wako aliibuka au ndo alizamia jumla?
Kitambo sana mtumishiHivi kumbe linamo mambo yametiki!
Alinitumia ujumbe anataka naye jina libadilike, kumbe majibu tayari!
Kijana uwe makini ukimuudhi valentina ctakuelewniulizie kama ana mwenza
Hahaha umeonaeeeNew couple?
Hi couple haina makuu tofauti na hizi nyingine za akina Th Name.Aaaa.... Jamani! mbona mko wa kavu hivyo nyie kapo!
Nawee ulegeee!!Weeeee shindwaaa!!
My love. Mpotezee huyo tatizo anatumia sanaWeeeee shindwaaa!!

nauliza tu jamani, si kwa ubayaKijana uwe makini ukimuudhi valentina ctakuelew
Shem upo!Weeeee shindwaaa!!
Safi kabisa, hiyo hi itakuwa imemfikia tayariMambo Jimena? pitisha hi yangu mpaka kwa dada valentina