Makapuku Forum

Makapuku Forum

Naomba kwa heshima kabisa nikueleweshe jambo moja kila kitu kina target audience
Cartoon kwa watoto ni kitu kikubwa huwezi kumdharau na kumdhihaki mtoto kwa kuangalia cartoon
Pombe ni kitu kibaya lakini kuna watu huwaambii kitu
Mpira una ushabiki wa kushangaza lakini kuna wengine hawajui chochote kuhusu mpira
Katika maisha hatuwezi kufanana kwa kila kitu
Ukiona mtu anafanya kitu kikampa furaha kwake na kwa wengine na hakina madhara kwa yeyote mwache afanye usimdhihaki wala kumdharau. ...ni njia yake ya kuburudika
Umemjibu vyema sana mkuunilitaka nimchambulie jukwaa zima aona ni kiasi gani sub forum ni ngapi zenye tija humu?
Ukienda jukwaa la elimu hakuna wachangiaji, ukienda biashara na ujasiria mali, hakuna wachangiaji pia, kwa magreat thinker ndo kabisaa..zaidi ya kuongelea mapenzi tena ujinga ujinga tuu lakini huwezi kupuuza kwani ndiko mioyo ya watu iliko, chagua ukipendacho na acha usichokipenda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom