Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,504
- 57,045
Usifananishe kuokota makopo na kukaa ofisini mkuu.sumbai sema unaenda kazini, mihangaiko si neno zuri sana
Usifananishe kuokota makopo na kukaa ofisini mkuu.sumbai sema unaenda kazini, mihangaiko si neno zuri sana
YaannnNimeamka salama. Mpendwa....
Hivi husikii baridi? Mpendwa
Kweli kabisa, kuna uwezekano mkubwa midume ikaweka avatar za warembo wanaovutia kidume unatumia maneno matamu kuchombeza kumbe ni dume mwenzio.JF ina upungufu wa warembo, na pia inasadikika siku hizi wanaume wa JF wame fake id za kike ...
Poa karibu tena.Mi mzima mpenzi
Usifananishe kuokota makopo na kukaa ofisini mkuu.
lakini bado ni kaziAsante. Sasa honey ntarudi baadae, nisaidie kuwapa wengine salamu zanguPoa karibu tena.
Utashangaa jonax ni SheKweli kabisa, kuna uwezekano mkubwa midume ikaweka avatar za warembo wanaovutia kidume unatumia maneno matamu kuchombeza kumbe ni dume mwenzio.

Hilo shama limelimwa usiku Wa kuamkia Leo.....dah..Mtoto wa mkulima View attachment 338272
HahhahahaaaaHilo shama limelimwa usiku Wa kuamkia Leo.....dah..
Kweli mshana noumaa....
Nawapongeza vijana wako Wa kazi waliolima usikuuu
Pole mama.Niko poa sanaaa
Baridi kaliiihttp://
Hapana ni kazi ngumu...kazi ya mihangaiko ni ile unatoka hm asubuhi hujui unaenda wapi na kufanya nini![]()
![]()
![]()
ni kazi ya mihangaiko
Sawa swetee,usijaliAsante. Sasa honey ntarudi baadae, nisaidie kuwapa wengine salamu zangu
Asantee mzeeeHapana ni kazi ngumu...kazi ya mihangaiko ni ile unatoka hm asubuhi hujui unaenda wapi na kufanya nini
Unawezakuta mtu kaweka picha ya Beyonce kumbe ni Faiza.Upo sahihi mkuu.. Wakina bibi faiza sio ajabu wapo uku na I'd tofauti kuanza upya