Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ondoeni Shaka, nitawaachia room, naenda kwa BH kwenye mkesha wa kupangilia pasaka.

Mjomba key copy unayo, karanga na mihogo iko pale pale

Nitakuwa kwa BH kwa maombi ya mnyororo tutaongea ijumaa .
Bhinamuuu mbona unaletaa mushkeriiii baby akae home tumalize yale maongezi
 
Binamu nimefurahi kutuachia gheto ila hiyo ya karanga na mihogo mmh
Baby usiwaze mihogo ntakula mm na karanga alafu dear wala usisumbuke kuja naona kwa bhinamu wamewakatia umeme

Ngojaaa naona naweza rudi ...usianzee safari
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom