Makapuku Forum

Makapuku Forum

Makapuku bhana. Unakuta mtu eti ana post zaidi ya 7000 na like kibao kwa this nonsense post? Naapa mbuzi aning'ate kqangu hupati like kama unaandika upuuzi huu wa kifesibuku.......
Naomba kwa heshima kabisa nikueleweshe jambo moja kila kitu kina target audience
Cartoon kwa watoto ni kitu kikubwa huwezi kumdharau na kumdhihaki mtoto kwa kuangalia cartoon
Pombe ni kitu kibaya lakini kuna watu huwaambii kitu
Mpira una ushabiki wa kushangaza lakini kuna wengine hawajui chochote kuhusu mpira
Katika maisha hatuwezi kufanana kwa kila kitu
Ukiona mtu anafanya kitu kikampa furaha kwake na kwa wengine na hakina madhara kwa yeyote mwache afanye usimdhihaki wala kumdharau. ...ni njia yake ya kuburudika
 
Asante sana mkuu mshana jr
 
Makapuku couples
Th Name and lizziebettie [emoji173]

youngblood and Nahrene[emoji173]

peterchoka and Linamo [emoji173]

jambilo (mtumishi) and Patience123 [emoji173]

EMMYGUY and aggyjay [emoji173]

manuu and amaizing [emoji173]

Wanaelekea kuwa couple

sizzya007 and Jimena [emoji173] [emoji809] [emoji813]

Broken couple
sumbai and cute b [emoji174]

NB.
Kwa wale wenyewe matatizo kama watayarekebisha mambo yao nitabadilisha list. Kama kuna couple nimeisahau ni pm tasavali
Hiyo hapo mtumishi
Umeandika namba, orodhesha mkuu
 
Naomba kwa heshima kabisa nikueleweshe jambo moja kila kitu kina target audience
Cartoon kwa watoto ni kitu kikubwa huwezi kumdharau na kumdhihaki mtoto kwa kuangalia cartoon
Pombe ni kitu kibaya lakini kuna watu huwaambii kitu
Mpira una ushabiki wa kushangaza lakini kuna wengine hawajui chochote kuhusu mpira
Katika maisha hatuwezi kufanana kwa kila kitu
Ukiona mtu anafanya kitu kikampa furaha kwake na kwa wengine na hakina madhara kwa yeyote mwache afanye usimdhihaki wala kumdharau. ...ni njia yake ya kuburudika

Kiroho safi [emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
Back
Top Bottom