1997 - Phoenix Lights zaonekana huko katika anga la mji wa Phoenix Jijini Arizona kwa wakazi wa Mji huo na mamilioni ya watu waliangalia kupitia Runinga.
Phoenix lights ni vifaa virukavyo angani ambavyo huwa havijulikani yaani Unidentified Flying Objects ( UFO ).
Hahaaa! Keshapendwa mtu asubuhi hii mkuu...Unatakaa ban au ??
Kwemaaa kabisaHahaaaa! Kwema mkuu
Mkuu next time usiharibu ID ujue ni verified hiiHabari zenu wakuu i hope mko poa sana. Lee thanx kwa mambo yako, nyangei kwa kunikaribisha, numbisa, shunie
n yeye numbisa kasema na ban amepata kweliMmmmmmh kwelii???
Hivi kala ban kweli??
kilichokufurahisha n nn shemelaHahaaaa! Kwema mkuu
Ikawaje sasa apige hodi au alisahau mlango ulipo?Hahaha
Mwenyeji sana humu huyu hana cha uwcb
Mkuu kisa cha kula ban ni nini?Kwemaaa kabisa
AhsanteeMkuu next time usiharibu ID ujue ni verified hii
Ni Nyagei na sio Nyangei
Ukitaka tuition utapata nipo available
Huyo dogo wa WCB kakupenda..! Nafurahi tuu...kilichokufurahisha n nn shemela
HL 999 the causeMkuu kisa cha kula ban ni nini?
2013 - Papa Francis anachaguliwa kuwa Papa wa 266 kuongoza Kanisa Katoliki Duniani. Ni raia wa Argentina.
Alichukua nafasi hiyo baada ya kujiuzuli kwa Papa Benedicto wa 16.
Wacha nimpeleke madaleeHuyo dogo wa WCB kakupenda..! Nafurahi tuu...
alikua anaitaka sana banMkuu kisa cha kula ban ni nini?
Wasalimu sana kwa niaba ya kijana wetu Samatta.Hawajambo mkuu..
Ooh! Paprika vipi kwani? Mliachana?HL 999 the cause
kwahyo kinachokufurahisha mm kupendwa na huyo dogoHuyo dogo wa WCB kakupenda..! Nafurahi tuu...