Makapuku Forum

Makapuku Forum

Nadhani ndicho anachoplan
1fd70fae38dcf4dfb34e286ed8db7f80.jpg


......
 
2004 - Rais wa Korea Kusini, Roh Moo-hyun anasimamishwa Urais na Bunge la Nch hiyo baada ya kufanya vibaya kwenye Uchumi na Diplomasia.

Mwaka 2009, Rais Roh anaamua kujiua mara baada ya kupanda mlimani na kujirusha chini.
1263c7ad88ae730f50b0077506500ac7.jpg
405380830029547596c7658c3df125e3.jpg
36799e43dc8ceaff16447de33d38298e.jpg
e46bc93337fea7527562e17cafc6c0dc.jpg

Juzijuzi tu wamentimua mwingine
Waafrika tuna mikatiba mibovu Rais anatawala km mungumtu
.......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom