Habarini zenu humu ndani wana kapuku!! Nimepita nikaona niwasalimie tuu, ingawa mara ya mwisho hamkunipa hata Maji ya bomba. Muwe na jioni murua
Cc:Shunie
Habarini zenu humu ndani wana kapuku!! Nimepita nikaona niwasalimie tuu, ingawa mara ya mwisho hamkunipa hata Maji ya bomba. Muwe na jioni murua
Cc:Shunie
Uko sahihi kabisa Madenge. Naona umeanza kukomaa sasa.
Popote penye mtafaruku hapa duniani kwa namna moja au nyingine kuna mkono wa Mmarekani na vibaraka vyao. Kama we ni kibaraka wao, ujanja ni kujua lini umuhimu wako umeisha halafu una-act accordingly. Uki-overestimate umuhimu wako ndo hayo ya akina Savimbi na Mobutu Seseseko Kuku Ngbendu Wa Za Banga yanakukuta. Wanakutelekeza jumla bila huruma.