1945 - Katika Vita kuu ya Pili ya Dunia: Ndege za Kijeshi za Marekani zashambulia mji wa Tokyo huko Japan na kuua takribani watu 100,000 wengi wao wakiwa ni wanawake na watoto.
Huo ulikuwa ni mfululizo wa mashambulizi wa ndege za kivita za Marekani katika anga la Japan kwa kutumia ndege aina ya B-29.
Hapo Hayati baba wa Taifa alikuwa ana siku kadhaa hapa duniani
Mmasai wa India
...
1952 - Fulgencio Batista anaongoza mapinduzi nchini Cuba na kujitangaza kama Rais wa Nchi hiyo ambapo aliongoza kidikteta.
Batista alikuwa ni kibaraka mkubwa wa Serikali ya Marekani.
Alikuja kutolewa madarakani katika Mapinduzi ya mwaka 1959 yaliyoongozwa na Wazalendo akina Fidel Castro, Camilo Cienfuegos, Huber Matos, Raul Castro, bila kumsahau baba wa mapinduzi hayo, Muargentina Ernest Che Guevara.
Fanya utafiti km huaminiDuuuuu hyo nayo mpya
1968 - Katika Vita ya Vietnam; Battle of Lima Site, Jeshi la Marekani lapoteza idadi kubwa ya askari wake wa anga kwa mkupuo.
Vita hiyo iliyotokea miaka ya 1960's - 1970's ilikuwa ni vita ya aina yake kwani ilipigwa katika misitu minene hali iliyopelekea Wamarekani kuzidiwa sana na kuamua kurudisha Majeshi nyumbani huku idadi kubwa ya askari wao wakishikiliwa kama wafungwa wa kivita ( P.O.W. ) katika magereza ya siri huko Vietnam.
SimjuiAliyegundua smartphone ni nani?
Angalia picha toka kwa BitozSimu ya aina gani?
Jeuri ikamponza.Japan alikuwa jeuri mno
1970 - Katika vita ya Vietnam, Serikali ya Marekani yamshikilia na kumfungulia mashtaka askari wake Captain Ernest Medina kwa makosa ya uhalifu dhidi ya binadamu.
Captain Ernest Medina aliongoza mauaji ya Raia zaidi ya 400 wa Kivetnam wasiokuwa na hatia katika Mauaji ya kijiji cha My Lai.
Hahahaha
Mmasai wa India
...
Lakini huwa hachukuliwi hatua yoyote.
USA kinara wa mauaji duniani
.....
1936 - Sepp Blatter anazaliwa huko Uswizi.
Ni mfanyabiashara na Rais wa zamani wa Shirikisho la Soka Duniani FIFA.
PointSimjui
Heshima itabaki kwa mgunduzi wa kwanza daima hao wengine wameboresha tu teknolojia
.....
Hakika ni dikteta wa soka, Waingereza wanaamini walinyimwa kuandaa Kombe la Dunia la mwaka 2018 kwa fitna na hila za Blatter.
Alikuwa dikteta wa soka mwenye faida
Waingereza wanamjua vizuri
....