Makapuku Forum

Japan alikuwa jeuri mno
 
Duniani Wamepita watu jamani
 
1968 - Katika Vita ya Vietnam; Battle of Lima Site, Jeshi la Marekani lapoteza idadi kubwa ya askari wake wa anga kwa mkupuo.

Vita hiyo iliyotokea miaka ya 1960's - 1970's ilikuwa ni vita ya aina yake kwani ilipigwa katika misitu minene hali iliyopelekea Wamarekani kuzidiwa sana na kuamua kurudisha Majeshi nyumbani huku idadi kubwa ya askari wao wakishikiliwa kama wafungwa wa kivita ( P.O.W. ) katika magereza ya siri huko Vietnam.
 
1970 - Katika vita ya Vietnam, Serikali ya Marekani yamshikilia na kumfungulia mashtaka askari wake Captain Ernest Medina kwa makosa ya uhalifu dhidi ya binadamu.

Captain Ernest Medina aliongoza mauaji ya Raia zaidi ya 400 wa Kivetnam wasiokuwa na hatia katika Mauaji ya kijiji cha My Lai.
 
1940 - Chuck Norris anazaliwa.

Ni mwanajeshi wa zamani wa Jeshi la Anga la Marekani.

Ni staa wa filamu kutoka Hollywood nchini Marekani.

Baadhi ya Filamu zake ni kama, Missing In Action ambazo zipo part I, II na III.

Pia kuna Delta Force, na mfululizo tamthilia za Walker Texas Rangers.
 
Pamoja na ubabe wake wote huko alikalishwa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…