1987 - Msanii Bow Wow anazaliwa.
Ni msanii wa hiphop toka Marekani, alitambulika zamani kama Lil Bow Wow.
Sasa hv naona yupo kimya sana
Alikuwa kidume cha Ciara
Wimbo wa That's my name alioimba na Snoop ndo ulimtoa
.....
1990 - Daley Blind anazaliwa.
Ni mchezaji kiraka wa Man Utd na Timu ya Taifa ya Uholanzi anayeweza kucheza beki namba 3, namba4 na kiungo mkabaji namba 6.
Umri umeenda siyo dogo tena + majukumuSasa hv naona yupo kimya sana
Walitikisa sana ulaya.
Deportivo ile ilikuwa tishio
.....
Asante, mi nakubali sana ike nyimbo yake ya Fresh azmiz.
Alikuwa kidume cha Ciara
Wimbo wa That's my name alioimba na Snoop ndo ulimtoa
.....
Nampenda michano yake imetuliaUmri umeenda siyo dogo tena + majukumu
Pia kule USA hakuna njaa
......
Moja kati ya assist bora za wakati wote.
Ndo aliyepiga pasi maridadi masafa marefu goli la RVP v Spain
.....
1997 - Rapa Notorius B.I.G anauwawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana.
Kifo chake kinahusishwa na kulipa kisasi kutokana na mauaji ya Tupac.
Ni miaka 20 sasa bado mpaka leo haijulikani ni nani alimuua Biggie kama ambavyo isivyojulikana aliyemuua Tupac.
Mama alikuwa juu kkuliikko wakkongwe kiippAsante, mi nakubali sana ike nyimbo yake ya Fresh azmiz.
Ahsante akili kubwa.Leo katika Historia:
Niwatakie mapumziko mema.
Pamoja.Ahsante akili kubwa.
Nambie shemelaAah! Shemelaa
1975 - Juan Sebastian Veron anazaliwa.
Kiungo wa zamani wa Lazio, Man Utd, Chelsea na timu ya taifa ya Argentina.
Alitajwa kama kiungo bora enzi akiwa Lazio hali iliyofanya Man Utd kumsajili kwa dau nono lakini usajili huo ukageuka moja ya sajili mbovu za muda wote.
Akatimkia zake Chelsea nako mambo yakawa mabaya.
Pole kwa matatizoHey guyz niaje...
I hope nyote wazima nitakuwepo jioni. Nilikua na matatizo kidogo
Asante kunishauri naogopa sanaNa usithubutu mkuu
Asante Mkuu nilipata mashaka sana taarifa ya. Mchana
Flesh, za Zambia?Nambie shemela