Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
Mambo madoogo hayaHapa kibembe tu kikongo mwisho lubumbashi
Mambo madoogo hayaHapa kibembe tu kikongo mwisho lubumbashi
SawaMambo madoogo haya
Hahahahaa!Transcend lee empire nimemchukua mtoto mzuri paprika Quigley hana chake hapa.
Nakupenda mpenz toka siku umefika nikakupokea getini


kumbe ilikuwa battle love! Hahaaa! Unataka hata uingine jf laivu laivu ! Kama nakuona vile yaaniOK tumpotezee..
Kwa kuchepuka usijali ww ni wangu tu mwaaaaaaaah my lovely.
NB. Seriously



Upo mkuu!Hi makapuku, nawamis sana
Hapana Quigley alikua na lee mm pekee yangu ikabidi nimuachie sasa dem kaja mwenyewe kamkacha Q . pole yake aiseeHahahahaa!![]()
kumbe ilikuwa battle love!
Si mngeniweka na mimi wakuu! Quigley mnamuonea sana..
Mkuu hakuna wa kunionea, hapa wananijua kidumeHahahahaa!![]()
kumbe ilikuwa battle love!
Si mngeniweka na mimi wakuu! Quigley mnamuonea sana..
Ni tongozo yake ya kwanzaHahaaa! Unataka hata uingine jf laivu laivu ! Kama nakuona vile yaani![]()
Hahaaa kawaida tu hapa nakenua tu i wish leo nitaotaHahaaa! Unataka hata uingine jf laivu laivu ! Kama nakuona vile yaani![]()
Paprika njoo huku ujibu tuhuma.Hapana Quigley alikua na lee mm pekee yangu ikabidi nimuachie sasa dem kaja mwenyewe kamkacha Q . pole yake aisee
Duuu kuachwa kubaya aiseeNi tongozo yake ya kwanza
Heeee ndio unanichomelea kabisa duu maji yamefika puani kweli. Ila hata hivyo sio kituPaprika njoo huku ujibu tuhuma.
Mondray anadai umejitongozesha kwake wala hakuwa na mpango nawe
Cc
Paprika
Lee
Subir marejesho tuDogo hutaweza ujue![]()
![]()
![]()
![]()
Aseee! Twende kazi sasa...Mkuu hakuna wa kunionea, hapa wananijua kidume
Cc
Werrason, shululu
Arsenal kaliwa vibaya mno..!Usiku mwema wakuu 00:20
Moyo wangu usha mdondokea Mondray ko sitaki gariTaabu yote ya nini mrembo hebu njoo uchukue gari uipendayo bhana
Sweety kumbe una wake watatu? Me mambo ya ratiba siyawezi! I want him for myself kila sikuNakusaidia kitanzi mkuu ukajinyonge haina jinsi
Mmmh! Hayo ya kurusha picha mpenzi mbona siyawezi?Kuwa nae siyo tatizo, tatizo huwezi kudumu naye.
Halafu kumbe unatabia za kitoto
Utarushaje picha?
Cc paprika