Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
Taabu yote ya nini mrembo hebu njoo uchukue gari uipendayo bhanaUsihofu, nimehairisha hiyo!!! Tutakodi ata bajaji mpenzi.
Taabu yote ya nini mrembo hebu njoo uchukue gari uipendayo bhanaUsihofu, nimehairisha hiyo!!! Tutakodi ata bajaji mpenzi.
Wewe danganywa bureeeNakusaidia kitanzi mkuu ukajinyonge haina jinsi
Mkuu kunywa maji kwanza upoze uchungu, hata tube la baskeli hamna unamuahidi gariTaabu yote ya nini mrembo hebu njoo uchukue gari uipendayo bhana
Nitakutumia picha pm nikiwa naeWewe danganywa bureee
Mkuu ufahamu unashindana na mtu wa level nyingine.Nakusaidia kitanzi mkuu ukajinyonge haina jinsi
mefurahi pia kipenzi...nimewamisUwiii aggjay nimefurahi mno kukuonaaa
Mkuu kunywa maji kwanza upoze uchungu, hata tube la baskeli hamna unamuahidi gari
Kuwa nae siyo tatizo, tatizo huwezi kudumu naye.Nitakutumia picha pm nikiwa nae
Niaje jombaa?Nitaungana nanyi tena hivi karibuni
Umeufanya usiku wangu kuwa wa maana na furaha.mefurahi pia kipenzi...nimewamis
Mkuu nakuona, cava!Niaje jombaa?
Level nyingine ipi mkuu haijarishi mtoto kashaingia kwangu lee empire alikua anakupigia debeMkuu ufahamu unashindana na mtu wa level nyingine.
Cc
Musollin5, shululu
Ca va bien, et toi?Mkuu nakuona, cava!
Siku zitaongeaLevel nyingine ipi mkuu haijarishi mtoto kashaingia kwangu lee empire alikua anakupigia debe
Haya let us see bossSiku zitaongea
Je cava bienCa va bien, et toi?
Hapa kibembe tu kikongo mwisho lubumbashiCa va bien, et toi?