Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,504
- 57,045
Huwezi kuwa single hivihivu lazima kuna mbadala wake.!Bitozi ni kama mimi tu hatuna makeke lakini tupo
Huwezi kuwa single hivihivu lazima kuna mbadala wake.!Bitozi ni kama mimi tu hatuna makeke lakini tupo
Mpenzi revola?Huwezi kuwa single hivihivu lazima kuna mbadala wake.!

Njema karibu tenaza jioni wapendwa
na mimi nataka chaji maana nahisi nimepigwa kibutiUkuje nikuongezee chaji
za jioni wapendwa
Single boy ina raha zake bana unakua huru kuzungumza na yeyoteSingle boys
Hehehehe kumbe hajapita kwako?? Naomba nichukue nafasi hii kumtetea. Alikuwa busy sana siku mbili hizi, akitulia atakutafuta. Naomba usimuelewe vibaya sizzya007Sizzy007 si nilimwambia apitie kwangu aeleze shida yake apewe hak yake, naye kapuzia?
Atakuja wakati kachooka ndo atajua umuhim wangu
Chaji IPI tena kaka mkubwaUkuje nikuongezee chaji
asante mkuu, tupo pamojaNjema karibu tena
Basi sawaaaaaaaaTutamsaidia tu,lakini ujitahidi kukeep promise.
Sijamuona shemuUmemwona mama mtumishi?
Hahahaaa mbadala upi weweHuwezi kuwa single hivihivu lazima kuna mbadala wake.!
Kuwa na mpenzi raha sana. Hasa yule anayekupenda kwa dhatiSingle boy ina raha zake bana unakua huru kuzungumza na yeyote
God is good...!!!
Vipi mkuu mshana jr habari ya wewe!Ukuje nikuongezee chaji
Fid Q aliwahi kuimba kwenye huyu na yule, huyu faida yule bureHuwezi kuwa single hivihivu lazima kuna mbadala wake.!

Naona unakoelekea ni kwenye udimpozFid Q aliwahi kuimba kwenye huyu na yule, huyu faida yule bure
Alisema huyu mademu...Yule sssss sabuni...
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()