radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
Pole sana kijana ibavu(ubavu) kweli una stress aisee
Kaza buti utapata
balaaa kusubili mchezo
Pole sana kijana ibavu(ubavu) kweli una stress aisee
Kaza buti utapata
Mkuu naona unataraji kuokota dodo chini ya mnaziNGOJA MI NISUBILI ATAKAETELAZA
Sisi wengine full rahaAcha tu mkuu
Hamna mkuu,changamkia fursa.Nikajua unataka mbadala wa jimena.![]()
![]()
![]()
![]()
Muwe makini ila maana hatukawii kufanya subSisi wengine full raha
Ukiwa na matumaini ya kupata subra ni muhimu. Ila isiwe Ile ya kusubir meli airportbalaaa kusubili mchezo
Kwani ww usalama wa TaifaMpaka lini tena
Hahaha hakuna namnabalaaa kusubili mchezo
Mkuu naona unataraji kuokota dodo chini ya mnazi
Sumbai ashaachwa tayari na cute bNatamani tu kumuona yuko na nani kwenye hiyo list ya couples maana kuna watu wengi walikuwa wanawinda.
Umemwona mama mtumishi?Zimefika shem jambilo
Aisee inabidi sheria ipitishwe kwamba raisi lazima awe ameoa.Mpaka lini tena
Siwezi Fanya hivyo. Nampenda sana lizziebettieMuwe makini ila maana hatukawii kufanya sub
Hahaha hakuna namna
Mkuu ukitaka kufanya sub ujiandae mkuu sumbai kanijia na mapanga, mabomu na nyundo kisa nilionyesha dalili kwa cute bMuwe makini ila maana hatukawii kufanya sub
Hahaha,mapenzi mabaya sana.Sumbai ashaachwa tayari na cute b
Hahahahah kwanza amejipangaAisee inabidi sheria ipitishwe kwamba raisi lazima awe ameoa.
Ukiwa na matumaini ya kupata subra ni muhimu. Ila isiwe Ile ya kusubir meli airport