Makapuku Forum

Eti ukishazikwa wamekufukia MUNGU anakuamsha, unaanza kupambana na maudongo yaliyo kufinya + joto duuuuh Shunie kazi unayo
Ninachoamini ukifa umekufa na siyo habari maana tumezoea kuchinja kuku(kuwaua) na kula hivyo nasmini kaburini hakuna lolote la maana na hata jehanamu ni stori za kutishana tu

Katika maisha yangu yote huwa sipendi kumfanyia mtu jambo baya kamwe siyo kwamba naogopa sijui mnaita dhambi ila tu sipnagi faida ya roho mbaya pia naamini usemi wa shida haiji mara moja hivyo unayemtendea mabaya leo ndo anaweza kuwa msaada wako baadaye
.....
 
Point zako fikirishi mkuu ila hukumu na MUNGU yupo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…