Makapuku Forum

Natamani kujua kama alikamatwa alipata kipigo cha aina gani mana jamaaa wa nyuma anaonekana anahasira hatari
Sijajua kilichoendelea ila hapo inaonesha wazi dogo yupo vizuri kwa mbio
Kumbuka hilo rika mtu unakuwa fiti kiafya sidhani km alikamatwa maana do go ana uwezo wa kumzungusha huyo Policcm mpaka aombe poo au arushe kirungu

......
 
Kitakacho mshinda Arsenal ni kipi..... ?
Kushindwa kupata goli 4-0... au kupata ushindi na kushindwa kuvuka raundi..... ? Kwenye michezo kama hii ndipo watu hujiua.

Kitakacho punguza ukali wa Bayern Munich ni bei ya tiketi pale Emirate tu.... Hakutakuwa na Wajerumani Wengi..... Hapa arsenal wanamhitaji Alexis katika winga moja, Arsenal anahitaji krosi nyingi kichwani mwa Giroud kuliko penetration pass miguuni mwa Walcott.

Kama hautaki kufa basi usimuue mhindi..... Coz the ball is round....ila tukutane soon baada ya mechi kuisha japo ata historia kama za dikteta huwa zinavunjwa bila kusahau maajabu ya mondray huwa yanatokea

Apa transend namwonea huruma kuliko clkey anavojionea huruma
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…