Makapuku Forum

Huyu beybi wangu amejiskia tu kunitaja...niko nampetipeti inbox eti...hapa nahisi anashtua tu mjue kuwa kuna kona namliwaza.
Kwanza nisamehe shem kwa kukusumbua huko ulipopataja tunapaita chumban sasa kama Kaka na Shem wapo chumbani wamejifungia huwa hawapaswi kusumbuliwa kabisa maana tunaamini wanafundishana nyimbo za kusifu na kuabudu.. jambilo nisamehe kwa kuwaaribia faragha...Shem endeleeni tu sasa..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…