Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,295
Mkuu habari za majukumu, patience123 wapi?My dear...upo pande hizi?
Mkuu habari za majukumu, patience123 wapi?My dear...upo pande hizi?
Sisi13876 ila hiyo yako nayo inagota soon
Pozi sasa [emoji134] [emoji134]![]()
![]()
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
................
MAKUPUKU Wote Hongereni sana, Hii kambi yenu inakuwa kwa kasi.
Noma sanaPozi sasa [emoji134] [emoji134]
Naona tabasam zito, wapi mr?Shem Jambilo
Mtumish wacha nimchek kuna kona nimekutana naye wacha nimshtue Patience123 shemeji yangu popote ulipo unatafutwa huku..Mkuu habari za majukumu, patience123 wapi?
Yupo hapa, anakuonaNaona tabasam zito, wapi mr?
Masanja anakata gogo?Sisi
![]()
![]()
Wao
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
................
Niliwaona mpo wote mda fulani Shemeji...ama?
HujaelewaMasanja anakata gogo?
Ndiyo shemeji tulionana mida flani alafu akapotea tena[emoji15] [emoji30] [emoji30] [emoji30] ,huyu ndugu yako atanitoa roho.Niliwaona mpo wote mda fulani Shemeji...ama?
Yeah pozi la gogo gogo kabisaMasanja anakata gogo?
Niyeye bhana!Hujaelewa
Anakojoa
Sio Masanja
Wamefanana
..............
Hahaha.Yeah pozi la gogo gogo kabisa
Hahahaaa ndio. Halafu bitoz anakataaYeah pozi la gogo gogo kabisa
Huyu beybi wangu amejiskia tu kunitaja...niko nampetipeti inbox eti...hapa nahisi anashtua tu mjue kuwa kuna kona namliwaza.Mtumish wacha nimchek kuna kona nimekutana naye wacha nimshtue Patience123 shemeji yangu popote ulipo unatafutwa huku..
Nitafurahi kama atakuwa anafanya hivyo,maana naona zile stress za weekend zinaaza kurudi.Hope atakuwa anarekebisha maanjumatu kwa ajili ya usiku wa leo.. Nahrene