Makapuku Forum

Itabidi niende kutembea Chicago na mama Mchungaji
 
1951 - Kenny Dalglish anazaliwa.

Mchezaji wa zamani wa Liverpool na timu ya taifa ya Scotland.

Mchezaji mahiri wa enzi zake akiwa na Liverpool akabatizwa jina la " King Kenny ".

Baadae akaja kuwa kocha wa Liverpool na ndiye kocha wa mwisho kuwapa taji la ubingwa wa EPL mwaka 1990.

Pia Dalglish alitwaa ubingwa wa EPL mwaka 1995 akiwa kocha wa Blackburn Rovers.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…