Kama kuna kipindi Arsenal hataki kukutana na Liverpool..... Na Liverpool hataki kukutana na Arsenal basi ni kipindi hiki ambacho Liverpool anaiwaza top four na zile beki zake naye Arsenal anaiwaza top four na Yule Sanchez wake.
Hapa patachimbika..... Kama unaubavu wa kumuua kanjibayi we piga ila hapa sikupi shauri... Ila ikitokea kapuku ukamuua bhasi tukumbukane kwenye ufalme