BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
I see why?JE WAJUA??
Mao Zedong aliua watu mara 4. 5 zaidi ya walio uawa na Adolf hitler
KabisaUkisikia mtu anasema mm nina swag piga kofi huyo
nipo mama mchungaji kwenye kipindi mm sio kipanga kama lee [emoji23]Shunie aje kwakweli asimis kipindi...Shunieeeeee. Njooooo please
Safi sana...JE WAJUA??
HUGH JACKMAN (X Man) ana kampuni inayoitwa LAUGHING MAN ambayo faida yote 100% anayopata anachangia kwenye elimu.
Peoplesssssssss [emoji23][emoji111]
.....aje kukukanda?[emoji3]Safi tu ila miguu ndio haina nguvu maumivu kwenye magoti
AwesomeJE WAJUA??
BLUCE LEE ni mtu pekee ambaye alikua anaweza kkupiga push up 100 kwa mkono mmoja akitumia kidole gumba na kidole cha mwisho. Pia alikua anaweza kurusha punje ya mchele juu halafu akaidaka na vijiti.
Kung-fu level Awesome..
Sababu kubwa ni migebuka na mawese wanayo kulaHata futbol wako na kipaji sana
Af wewe![emoji53]Peoplesssssssss [emoji23]
Kama ulikuwepo mkuu, namuhitaji kabisa aje anifanyie hiyo kitu.....aje kukukanda?[emoji3]
Mbarikiwe sana Mondray na Lee nimepata mengiiShukrani za pekee zimwendee brother lee empire kwa kutunogeshea makala. Thanks a lot
MicharazoGo buy that.. Whaaaaaat are you kidding me.
Doctors bwana
Mama mchungaji umefurahi kweli nina Siku nimeona kicheko chakoHatariii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ahsante sana mama mchungaji wangu.. Lakini nakuomba ubadili avatar kama hutajali bora uweke hata picha ya mama wa yesuMbarikiwe sana Mondray na Lee nimepata mengii
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]View attachment 476465kuna miandiko ila huu nao kiboko!!!
Etieeh!!!.....baas hata ..... ni shidaaaaaa!!!Sababu kubwa ni migebuka na mawese wanayo kula
Owkey, asumani unaitwa huku!!![emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Kama ulikuwepo mkuu, namuhitaji kabisa aje anifanyie hiyo kitu
lee hakuamin [emoji23] anasema bora shululu kuliko wwAf wewe![emoji53]