JE WAJUA?? BLUCE LEE ni mtu pekee ambaye alikua anaweza kkupiga push up 100 kwa mkono mmoja akitumia kidole gumba na kidole cha mwisho. Pia alikua anaweza kurusha punje ya mchele juu halafu akaidaka na vijiti. Kung-fu level Awesome..
JE WAJUA??
Kigoma ndio mkoa ambao wakazi wake wamejaliwa vpiji vingi vya aina tofauti. Mfano 50% ya mastaa wakubwa wa Muziki Tanzania wanatoka kigoma.
..... Me am excluded