Mmhh.mbona umeshtuka Mkuu mi nadhani habari hiyo kila mtu kapokea kwa hisia tofauti maana ukitafakari sana ni tukio la hatari Kumeza ulimi wako mwenyewe imagine!
1. PL Player of the year - NGOLO KANTE
2. Manager of the year - Antonio Conte
3. Young playér of the year - Dele Alli
4. Goalkeeper of the year - Hugo Lloris
5. EFL player of the year - Tom Cairney
6. Outstanding Contribution to London Football Frank Lampard.
Hizi ni tuzo za mwaka jijini London.... Hivi ile timu yetu si ipo London au nauliza tu ? Maana hata tuzo za ng'olo kante zilikuwepo London.